Jumapili, 13 Septemba 2015

                  MWENYEZI TUONESHE NURU NG'AAVUU WATANZANIA WA LEO

Jumapili, 8 Machi 2015

KIVUKO KIPYA KILICHOPO FELLI MKOANI MTWARA

mv_mafanikio ikiwa inafanya shughuli zake,tunashukuru sana .

CHANGAMOTO ZA AJIRA

vijana wa mkoa wa mtwara wanafanya maendeleo yao! kwa nguvu zao tena kwa amani zaidi wako nafuraha juuu ya amani

UFUNDI STADI NA MAISHA MTAANIII

              Katika vyuo vingi vya ufundi stadi vinatoa sana hamasa juu ya ujasiriamali` ambao utamjenga mtainiwa kuwa mtu mwenye mipango yenye kuleta tija


Jumamosi, 7 Machi 2015

UWEPO WA BARABARA BORA NDIO MAENDELEO YA KUSINI


Ubora wa barabara kusini ni tatizo linalopelekea wafanya biashara ya usafirishaji kutoleta magari yao kwa hofu ya barabara