Jumapili, 13 Septemba 2015

                  MWENYEZI TUONESHE NURU NG'AAVUU WATANZANIA WA LEO
  • amani ni nguzo ya maisha yetu
  •     TANZANIA YETU,, POPOTE DUNIANI,NI MFANO WA NCHI AMBAZO ZIMEWEZA,TUNZA AMANI YAKE# PAMOJA NA WATU WAKE KUWA WAKARIM.VIJANA NA WAZEE TUITUNZEEE NCHI YETU,KWANI BILA AMANI>>> KAZI BUREE TUTAKOSA MSIMAMO KATIKA MAISHA YETU" KAMA NCHI ZINGINE ZILIZO POTEZA AMANII YAKE BILA SABABU ZA MSINGI,MUNGU IBARIKI NCHI YETU YA TANZANIA AMINI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni